Tuesday 4 September 2012

DIAMOND NDANI YA WASHINGTON DC


WASAFIIIIIII IN D.C



                                  HAPA WAKIWA WANAPATA LANCHI KWA PAMOJA


                                         DIAMOND AKIWA GYM AKIWEKA MWLI POA


 
DIOAMOND AKIWA NA DENCE WAKE WAKIOGELE 
NA VICHEKO KWA SANAAA


TONNY IN HOT PIC'S

TONNY IN HOLLYYWOOD PATY
ROY AND ADAM
SIMPHORONC

MAMAA JR

MAMAA JR NDANI YA CLASSIC POZI
katy na mamaa JR
Mamaa JR wa SPAIN akiwa anajiachia ndani ya paty kataka uzinduzi wa african place akiwa na marafiki zake

AMMY NANDOS

Ammy Nandos ni kijana moja mtata sana katika swala la Fashion na nimcheza mpira mzuri sana pia ni MIC lakini ana ishi nchini marekani huko ndipo mzazi wake anapoishi , Ammy nandos amezaliwa nchini Tanzania pia yupo kwenye timu kubwa ya mpira wa miguu huko nchini marekani

MR YUSFU

YUSFU anaishi BELGIUM  na raiya wa huko misha yake yako kwenye mpira na anasomea computer  engineering

MR Kelven frenandz

Kelven frenandz kijana anaye ishi inchini ITALY na familly yake bt yeye ni mzaliwa wa Tanzania lakini akiwa fanya fani zake kama za uchezaji Mpira akiwa katika timu ya daraja la NNE huko italy na mambo ya fashion kwa pamoja