Tuesday 4 September 2012

AMMY NANDOS

Ammy Nandos ni kijana moja mtata sana katika swala la Fashion na nimcheza mpira mzuri sana pia ni MIC lakini ana ishi nchini marekani huko ndipo mzazi wake anapoishi , Ammy nandos amezaliwa nchini Tanzania pia yupo kwenye timu kubwa ya mpira wa miguu huko nchini marekani

No comments:

Post a Comment