CHEAF ADAM
EVERY THING AROUND US
Wednesday 17 April 2013
Mwigizaji Elizabeth Michael (Lulu) ambae kwa sasa yuko nje kwa dhamana kutokana na kesi inayomkabili ya kuua bila kukusudia, amefanya party kwa ajili ya siku yake ya kuzaliwa April 17 ambapo aliandika kuhusu umri wake kwenye hii picha ya kwanza ya keki hapa chini ili kuondoa utata ambao ulijitokeza ambapo taarifa nyingine zilisema amezidi miaka 18 lakini nyingine zikisema yuko chini ya miaka 18.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment